Michezo

Floyd Mayweather aonesha jeuri ya ‘parking’ ya magari aghali duniani!!

Bondia Floyd Mayweather, 38, ambaye anajiandaa na pambano lake la mwisho dhidi ya Andre Berto litakalofanyika MGM Granda mjini Las Vegas, Septemba 12, ameonesha magari yake matano ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 10.6 kwa pamoja katika klabu yake ya masumbwi mjini Las Vegas, Nevada.

Floyd Magari
Magari ya Mayweather yakiwa yamepaki nje ya klabu yake ya ngumi, MBC

Magari hayo ni pamoja na Ferrari 458 Italia ($300,000), Bugatti Veyrons mbili (kila moja dola milioni 1.5) na convertible Bugatti (dola milioni 2.5) na Koenigsegg yenye thamani ya (dola milioni 4.8.)

tmt1

Floyd alifika kufanya mazoezi akiendesha gari aina ya Koenigsegg yenye thamani ya dola milioni 4.8. Kuna gari mbili tu za aina hiyo duniani.

tmt2
Mayweather akiwasili katika klabu yake ya ngumi mjini Las Vegas, Nevada

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents