Michezo

Floyd Mayweather kuzichapa na Marcos Maidana, May 3

Bingwa wa mkanda wa WBC (welterweight) Floyd Mayweather atazichapa na bingwa wa mkanda wa WBA, Marcos Maidana May 3.

Floyd Mayweather Jr., Canelo Alvarez

Bondia huyo wa Argentina amempiku Amir Khan wa Uingereza aliyekuwa anawania kuzichapa na Mayweather.

Marcos-Maidana-2013-edited1_3052210
Madaina

Pambano la mwisho la Mayweather (45-0, 26 KO) lilikuwa September 14 mwaka jana alipochuana na Canelo Alvarez.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents