Burudani

Fm Academia wajiandaa kwa burudani

Fm__Pancho_Mwamba
Bendi ya muziki wa dansi yenye wanamuziki wengi  tuko Kongo, Fm Academia wakiwa mazoezi katika ukumbi wa New Msasani siku ya jumanne, hapa mwigizaji na mwimbaji na pia mbunifu wa staili ya uchezi Pancho Mwamba akiwaonyesha wanenguaji njinsi ya kucheza.

 

Fm_dencer_2
Vipi hapa, kweli kila mchezaji anastaili yake ya uchezaji.

Fm_Dencer

Fm_Bendi
Pembeni Nyoshi al Sadat, aka Presedal akiwa kwenye kiti  (Mwenye rasta) akiwaangalia wapiga soro wake jinsi walivyokuwa wakikunguta nyuzi.

Fm_Academy

Fm_Mancers_wa_kike

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents