Michezo

Fraser Forster awa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu Uingereza

Kipa wa klbau ya Southampton Fraser Forster ametajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu Uingereza.

fosta

Muingereza huyo ambaye alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeruhi na kurudi Januari na kuichezea klabu yake mechi sita bila kufungwa, mechi dhidi ya Arsenal, West Ham na Swansea, na kujinyakulia alama saba Februari.

fosta1

Forster alikuwa mlinda pekee kutofungwa mechi sita, amewashinda washambuliaji Harry Kane na Jamie Vardy, viungo Willian na Christian Erikse na mlinda mlango Robert Huth katika tuzo hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents