DStv Inogilee!

Free Style!! Njooni hata 100….!!

Msanii Albert Mangwair anayewakilisha kundi la (Chamber Squad) kutoka East Zoooo Babyyy, amejigamba kuwa mpaka hivi sasa anaamini hakuna kiumbe yoyote hapa Bongo anayeweza kusimama naye linapokuja swala la Free Style.

Ngwair
Ngwair

Akiongea kwenye mahojiano na kituo kimoja cha Radio mapema wiki hii ambapo aliulizwa ni msanii gani wa kibongo anayemhofia kwa Free Style? Ngwair alijibu kwa kusema ….mpaka hivi sasa hajamuona wa kushindana nae kwani yeye ni mbaya na anayebisha kuhusu hilo basi amsimamishe na wasanii hata 100 halafu auone kitakachotokea.

Haya mmesikia wenyewe anayebisha aweke ulingo na Ngwair!! kazi kwenu wasanii…mweneyewe anasema anasafiri kwa spidi ileile 120 kwenye kona shaaa..ukipunguza utapitwaaa ohooo babake hahaha.

Mangwair anaaminika kuwa mmoja kati ya wabaya wa Free Style kwa hapa Bongo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW