Burudani

Freestyle ilivyoshika

style_face

Washiriki wa tamasha la Freestyle, wakijaribu kuonyeshana vitu vipya ambavyo wanavyo katika mashairi yao kwa kuweza kumchana msanii mwenzake, kwa kile anachokiona bila kutumia lugha chafu (Matusi) wala kumshika kwa lengo la kutoleta ugonvi.

 


Hii ilifanyika katika viwanja vya club Sunciro, Sinza.

style_flevour
Dj Fetty akimtangaza mshindi wa kwanza ambaye ndiye aliyeonekana kusumbua kuliko wote Flavor, ingawa na wengine walipitishwa.
stely_fid
Farid Kubanda, akiwa na washiriki watano walioingia
style
NchaKali akiwa na mshiriki, katika vituko kidogo.
style_Haleluya
Haleluya aliyevaa shati la kijani, mshiriki ambaye alitokea kukubalika na mashabiki kwa wingi, na ndiye aliyeleta hamasa kubwa pindi alipotolewa na kufanya majaji kumrudisha tena kutokana na fujo za mashabiki. Naye aliingia katika tano bora ambao watashindana na wengine kutoka mikoani.
style_mc
Ma Mc wakitoa somo kidogo kwa washiriki
style_watano
Washindi wa tano wa shindano la mkali wa Freestyle
style_mwisho

 

Tamasha likiisha kwa kuwabeba washindi

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents