Tupo Nawe

Freshly Ground Ndani ya Bongo

fresh

Bongo 5 imepata habari kuwa Freshly Ground, bendi maarufu hasa kwa wimbo wao walioshirikina na Shakira, Waka waka, uliokuwa wimbo wa ‘World Cup 2010’,  watafanya concert tarehe 8 Desemba mwaka huu katika hoteli ya Moevenpick jijini Dar es Salaam.

Hayo yalisemwa na Keltouma BOURHIMI , mratibu wa  sanaa na matukio  wa Alliance Francaise. Show hiyo inayotarajia kuanza majira ya saa mbili n nusu, inauza ticket kwa bei ya 50,000 tsh.

Wadau wote mnakaribishwa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW