Habari

Fujo kubwa yatokea kwenye show ya D-Knob siku ya Christmas

189201_511117608900769_717609999_n

Rapper aliyewahi kuhit na ngoma kibao ukiwemo ‘Sauti za Gharama’ D-Knob amesema katika show yake aliyoifanya siku ya Christmas palitokea fujo kubwa kiasi cha kudaiwa kusababisha kifo cha mtu mmoja.

Kupitia Facebook, D-Knob ameandika:

Juzi 25, december was having a show Ukumbi wa NJombe Green Park Kinyerezi huko. Response ilikuwa poa ila mwisho likatokea bonge moja la fujo. Nashukuru mungu niliondoka salama but jana nimepewa habari kuwa kuna mtu alipoteza maisha na wengi kuumia, na kiukweli inanisikitisha.

Pole kwa waliofiwa na walioumia. My heart is with u all. Real sorry 4 what happened.Fujo Miyeyusho

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents