Burudani

Full ng’aeng’ae ya Maxicana kideoni

Mexicana_video_face

Wakali wa muziki wa Bongo Fleva Mexicana Lacavera, walikuwa kwenye mikakati ya kuanza kwa video ya wimbo wao mpya wa Kumpadampa maarufu kama Full ng’aeng’ae, ambao kwa sasa umekuwa kivutio kwenye masikio ya watu wengi wapenzi wa muzimki wa Bongo Fleva.

Video ya wimbo huo inafanya na Mzuka Rec chini ya Benja mini wa Mambo jambo, huku wakiwa na vimbwanga kibao ndani ya video. Ndani ya kundi hilo kuna wasnii kumi na moja, lakini walioimba humo ni wa chache, akiwemo Baghdad, Mesen Selekta ambaye ndiye Producer wao, Fidodido, Klimax, na wengine wengi.

Mexicana_video

msanii Fidodido

Mexicana_michano

Mexicana_Fidodido

Mensen_Selekta-Jerry_Boniface

Mesen Selekta,

Mexicana_Baghdad

Mexicana

Hebu pata uhondo wa wimbo wenyewe kwanza- FULL NG’AE NG’AE
{mmp3}Bagdadftchibwa,tanah-kumpodumpa.mp3{/mmp3}

Baghadad,Climax feat Bennie Man-Waniwie radhi

{mmp3}Baghdad,climaxbiboftbenie Man-waniwie radhi.mp3{/mmp3}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents