Shinda na SIM Account

Fundi ujenzi kutoka Mkuranga ashinda Bajaj kutoka SportPesa

Fadhili Ali Bungara (23) fundi ujenzi na mkazi wa Mkuranga Pwani (mwenyeji wa Mtwara) ndiye mshindi wa droo ya 30 ya promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA. Mshindi huyo alikabidhiwa TVS KING DELUXE yake Disemba 5 Mkuranga mbele ya ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza kushangilia ushindi huo.

Katikati ni Fadhili Ali Bungara akikabidhiwa Bajaj na watu wa SportPesa

SportPesa inaendelea kutoa TVS KING DELUXE kila siku kwa siku 100. Ili kushiriki katika droo hii, mteja anatakiwa kufuata hatua zifuatazo.

Ili kushiriki kwenye promosheni hii ya SHINDA NA SPORTPESA, kwanza kabisa unatakiwa kujisajili kwa kutuma neno GAME kwenda 15888 (kama bado hujajisajili), weka pesa kwa namba ya biashara 150888 kisha piga *150*87# au tembelea http://www.sportpesa.co.tz kuweka utabiri wako mara nyingi.

Ukishaweka utabiri wako, utatumiwa ujumbe unaokutaka kutuma neno SHINDA kwenda 15888 ili kuingia kwenye droo. Kadri unavyozidi kucheza mara nyingi ndivyo unajiongezea nafasi ya kushinda kila siku.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW