Promotion

Fuse ODG atweet kuhusu show yake ya Dar Sept 7, aahidi kuwasha moto

September 7 mwaka huu jiji la Dar es Salaam litachezeshwa mtindo maarufu wa uchezaji muziki wenye asili ya Ghana, Azonto na staa wa nchi hiyo aishie Uingereza, Fuse ODG.

odg

Hitmaker huyo wa Azonto na Antenna anatarajia kufanya show hiyo kwenye viwanja vya Ustawi wa Jamii ambapo atasindikizwa na wasanii wa nyumbani wakiwemo Vannesa Mdee, Mabeste, Mrap, Deddy, Gosby, Wakazi, H Baba, Banana Zoro, Wakali Dancers, Lulu (BongoMovie), Aika na Nah Reel na wengine.

Leo msanii huyo ametweet:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents