Habari

Fuse ODG kutumbuiza Dar, September 7

Mkali wa Azonto na Antenna, Nana Richard Abiona aka Fuse ODG anatarajia kuwasha moto jijini Dar es Salaam, September 7.

fuse-odg-artwork-antenna-remix

Fuse ODG ambaye ni msanii wa Uingereza mwenye asili ya Ghana amehit kwa ngoma zake Azonto na Antenna.

Show hiyo imeandaliwa na Times FM.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents