Burudani

Future aweka wazi ratiba ya ziara yake mpya, aitaja Tanzania ndani yake

Rapper kutoka Marekani, Future ametangaza ujio wa ziara yake mpya ya muziki ambayo inaitwa ‘The Future Hndrxx Tour’.

Ziara hiyo inatarajiwa kuanza Julai 8 ya mwaka huu na kufikia tamati mjini London Oktoba 23, ambapo itazunguka karibia nchi kibao duniani ikiwemo kwenye bara la Marekani, Ulaya, Afrika na mengine.

Ratiba hiyo pia imeonyesha rapper huyo atatumbuiza katika jiji la Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Leaders Julai 22.


Ratiba ya ziara ya Future atakayozunguka dunia

Awali msanii huyo alitangaza ziara yake ya ‘Nobody Safe’ ambayo kwa sasa tayari ameshaipiga chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents