Burudani

G Lover :Niliwaweka wasanii 25 benchi ili Alikiba arekodi albamu lakini nilichopata…! (Video)

Mtayarishaji mkongwe wa muziki na mwanzilishi wa studio ya G Record, G Lover amefunguka kueleza kwamba kitu ambacho kilimuweka kando kusimamia wasanii ni baada ya wasanii wake ambao alitumia nguvu nyingi kuwatengeneza kuondoka mikononi mwake bila makubaliano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents