Burudani

G-Nako aeleza kwanini nyimbo za Weusi zinahit kuliko zile wanazofanya mmoja mmoja

G-Nako anaamini kuwa ngoma zake binafsi zinashindwa kufanya vizuri kutokana na mashabiki wa muziki wake kulitolea zaidi macho kundi la Weusi kuliko kazi za msanii mmoja mmoja wa kundi hilo.

10838328_834320349942340_796990348_n

G-Nako ameiambia Bongo5 kuwa kundi la ‘Weusi’ likitoa wimbo, hufahamika haraka kuliko nyimbo ya msanii mmoja mmoja wa ndani ya kundi hilo.

“Unajua Weusi ni Weusi, kazi ya Weusi ni rahisi kwenda fasta zaidi tofauti nyimbo za solo,” amesema.

“Lakini hivyo hivyo kazi zinaenda, nyimbo zinafanya vizuri taratibu sana, mashabiki wa muziki imewakaa brand ya Weusi na wakisikia kazi wanazifuatilia sana,” amesema G.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents