Habari

G-Nako kuja na reggae inayozungumzia mpira!! ‘Wara na Mpira’, (Sikiliza kionjo hapa)

Baada ya Mama Yeyoo, G-Nako aka G-Wara Wara atarejea tena na ngoma nyingine yenye mahadhi ya reggae iliyofanyika kwenye studio za Noizmekah Production studios kwa Defxtro. Sikiliza kipande cha wimbo huo aliomshirikisha Ben Pol.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents