Tupo Nawe

G Nako ‘Nimeanzisha brand ya nguo sijamuiga Jux, Diamond Platnumz alipendeza sana hadi nika comment – Video

G Nako Nimeanzisha brand ya nguo sijamuiga Jux, Diamond Platnumz alipendeza sana hadi nika comment - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka kwenye kundi la Weusi G Nako aeleza nia yake ya kuanzisha brand ya nguo huku akijitetea kwamba hajamuiga Jux kwani ni rafiki yake wa karibu na yeye anafanya biashara ya nguo.

Mbali na kuelezea hilo pia amefunguka jinsi alivyovutiwa na Diaomd Platnumz alivyopendeza hadi kumshawishi ku comment.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW