Tupo Nawe

G4s and Bhubesi pride bring rugby in Africa tour 2013 to local Tanzanian schools.

Kampuni ya ulinzi ya G4s ikishirikiana na mradi wa kukuza mchezo wa Rugby kwa nchi za Afrika,leo wameendesha kliniki ya mafunzo kwa watotoa shule za msingi katika viwanja vya shule ya kimataifa Tanganyika.

Kocha kutoka America akiwafundisha watoto jinsi ya kucheza Rugby
Kocha kutoka America akiwafundisha watoto jinsi ya kucheza Rugby
kliniki hiyo iliongozwa baadhi ya wakufunzi kama Ryan Jones wa Afrika kusini Springboks,Juan Pablo,GUllaume Boisseau,Ben Illingworth,Jonathan Markiwitz and Mike Googan,katika kliniki hiyo watoto wa shule ya Tanganyka International School,Mapambano na Shekilango walijifuzwa ya awali ya mchezo huo kwa masaa mawili kabla ya kupewa ujuzi wa vitenndo kwa lisaa hilo moja katika maeneo ya kucheza salama,kuzuia na matumizi ya maji na namna bora ya kucheza kitimu.
G4s Managing Director in Tanzania Jaqui Bothma akiongea na waandishi wa habari.
G4s Managing Director in Tanzania Jaqui Bothma akiongea na waandishi wa habari.
Akiongea na bongo5.com mkurugenzi wa kampuni ya G4s ambao ndiyo wadhamini wakuu wa project hiyo alisema “Wao kama kampuni kubwa ya ulinzi wamejitolea kukuza mchezo huo kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa jamii kwa miaka miwili wamekuwa wakidhamini na kusaidia programu mbalimbali ili kuakikisha mchezo huo unawajenga watoto kiafya,ukakamavu,na kujiamiani na pia unaweza usaidia kufufua vipaji ambavyo atuvijiui kama vipo kwaiyo kwakupitia kliniki hizi za mara kwa mara tutawasaidia watoto.”
wanafunzi wakicheza mchezo wa Rugby
wanafunzi wakicheza mchezo wa Rugby
Shule tatu ambazo zimepewa vikombe baada ya kuonyesha ushirikiano
Shule tatu ambazo zimepewa vikombe baada ya kuonyesha ushirikiano

IMG_9687

IMG_9683

IMG_9677

IMG_9678

Janeth Mahanga mwalimu wa shule ya Shekilango akikabidhiwa zawadi ya kombe kwa ushirikiano wao
Janeth Mahanga mwalimu wa shule ya Shekilango akikabidhiwa zawadi ya kombe kwa ushirikiano wao
Mwalimu wa mkuu wa kutengo cha mazoezi ya viungo wa Tanganyika International school akikabidhiwa zawadi ya kombe  kwa ushirikiano wao
Mwalimu wa mkuu wa kutengo cha mazoezi ya viungo wa Tanganyika International school akikabidhiwa zawadi ya kombe kwa ushirikiano wao

IMG_9676

Mwalimu mkuu wa shule ya mapambano Idda Henry akikabidhiwa zawadi ya kombe kwa ushirikiano wao
Mwalimu mkuu wa shule ya mapambano Idda Henry akikabidhiwa zawadi ya kombe kwa ushirikiano wao

IMG_9674

IMG_9673

IMG_9672

IMG_9671

IMG_9652

IMG_9650

IMG_9639

Makombe ambayo yameandaliwa kwaajili wa shule ya Shekilango,Tanganyika International school na Mapambano baada ya kuonyesha ushirikiano.
Makombe ambayo yameandaliwa kwaajili wa shule ya Shekilango,Tanganyika International school na Mapambano baada ya kuonyesha ushirikiano.

IMG_9646

IMG_9648

IMG_9635

Kocha wa mpira wa Rugby
Kocha wa mpira wa Rugby
Mambo yakijadiliwa
Mambo yakijadiliwa
Kutoka kulia ni Jonathan Boucher ,Regional HSSE and Risk DIR Africa akiongea na Philipple Poinsot ,Dar Coopards Rugby CCCB Chairman.
Kutoka kulia ni Jonathan Boucher ,Regional HSSE and Risk DIR Africa akiongea na Philipple Poinsot ,Dar Coopards Rugby CCCB Chairman.
Watoto wakipokea mafunzo kutoka kwa makocha.
Watoto wakipokea mafunzo kutoka kwa makocha.

IMG_9616

IMG_9610

IMG_9621

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW