Burudani ya Michezo Live

Gadner aizungumzia kauli yake ya ‘mtoto wangu aolewe na shuga daddy’ iliyozua gumzo (Video)

Mtangazaji wa Clouds Gadner amefunguka kuzungumzia kauli ambayo aliitoa hivi karibuni kwamba angependelea mtoto wake Malkia Karen aolewe na shugadaddy ili aweze kumtunza. Akizungumzia jinsi Watanzania walivyoipokea taarifa hiyo, amedai yeye hajali chochote na hayo ndio maoni yake kama ambavyo mtu yeyote anaweza kuwa na maoni kwa mtoto wake.

Wawili hao walihudhuria uzinduzi msimu wa pili wa kipindi cha Maisha Yangu cha DSTV kupitia chaneli 160 ya Maisha Magic Bongo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW