Burudani

Game ya Navy Kenzo na Chekecha Cheketua ya Alikiba zajumuishwa kwenye mix ya ‘Africa In Your Earbuds’ ya Jidenna & Nana Kwabena

Wengi watakuwa wanamfahamu Jidenna, muimbaji wa ngoma iliyohit na inayoendelea kufanya vizuri duniani, Classic Man na pia Yoga aliyoshirikishwa na Janelle Monae.

CSCEIjuXAAAOGMN

Ni muimbaji wa Marekani mwenye asili ya Nigeria. Yeye na DJ na producer wake, Nana Kwabena wametoa mix yao iitwayo ya ‘Africa In Your Earbuds’ ya Jidenna & Nana Kwabena 67’ ambamo wamemix ngoma za Afrika zinazofanya vizuri.

Miongoni mwa nyimbo zilizomo kwenye mix hiyo ni wimbo wa Navy Kenzo, Game waliyomshirikisha Vanessa Mdee na Chekecha Cheketua ya Alikiba.

Hapo chini ni orodha ya nyimbo zote zilizomo.

Tracklist:
01. Fela Kuti – Roforofo Fight [Nigeria] 02. R2Bees – Lobi [Ghana] 03. Rihanna – BBHMM Mavin Remix feat. Tiwa Savage & Reekado Banks [Nigeria] 04. Mafikizolo – Khona ft Uhuru [South Africa] 05. WizKid – In My Bed [Nigeria] 06. Mafikizolo – Happiness [South Africa] 07. Drake – Know Yourself (Fasta & Kid Kayne Afro Bootleg) [Netherlands] 08. Buraka Som Sistema – Komba feat. Kaysha [Portugal] 09. Janelle Monaé – Tightrope (Salah Ananse Remix) [United States] 10. Fela Kuti – Eko Ile [Nigeria] 11. Oscar Sulley – Bukom [Ghana] 12. Seun Kuti – Mosquito Song [Nigeria] 13. Fela Kuti – Colonial Mentality [Nigeria] 14. Fela Kuti – Ariya [Nigeria] 15. Femi Kuti – Look Around [Nigeria] 16. The Lijadu Sisters – Not Any Longer [Nigeria] 17. Sarkodie – Dumsor [Ghana] 18. Jidenna – Classic Man ft. Kendrick Lamar (OxV Official Remix) [United States] 19. WizKid – Ojuelegba Remix ft. Drake & Skepta [Nigeria] 20. Stonebwoy – Baafira ft. Sarkodie [Ghana] 21. Navy Kenzo – Game ft. Vanessa Mdee [Tanzania] 22. E.L – Shelele [Ghana] 23. Iyanya – Applaudise [Nigeria] 24. Patoranking – My Woman, My Everything ft. Wande Coal [Nigeria] 25. Burna Boy – Follow Me [Nigeria] 26. Stromae – Ave Cesaria [Belgium] 27. Four Tet – TTIBPTPKAAATJUIHRAMADPOBR [England] 28. Sauti Sol, General Pype & Sasha P – Mara Hio Hio (Instrumental) [Kenya/Nigeria] 29. Kiss Daniel – Laye [Nigeria] 30. Various Artists – Racines [Cameroon] 31. Timaya – Some More [Nigeria] 32. Criss Waddle – Pepeepe ft Mugeez [Ghana] 33. Alikiba – Chekecha Cheketua [Tanzania] Bofya hapa kusikiliza mix hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents