Burudani

Gangster ya Chege na Temba

Video_adama_face

Wasanii wawili kutoka katika  Kundi la Tmk Wanaume Family chini mkubwa Fella, Mh Temba na Chege Chigunda, wakimshirikisha Feroozi wanatarajia kumaliza video ya wimbo wao wa Kama ni Gengster, hivi karibuni chini ya Adam Juma wa Visual rab Rec.

Akiongea na Bongo5, mkubwa Fella, anasema video hii wanataka iwe ya kimataifa zaidi.

Video_chege

Chege akiwa katika mikakati ya kuhakikisha video inakwenda sawa.

Video_fella_na_binti

Mkubwa na wanawe, aliamua kujiachia na kimwana kidogo.

Video_feroooz

Ferooze, akiwa na washikaji wake wakijiandaa kuingia kwenye part, ya wimbo huo.

Video_Sharo_fella

Sharo Milionea, naye alikuwepo kwenye kukamilisha video ya wimbo huo, na hapa akiwa na mkubwa Fella

Video_warembo

Warembo wakisubiri video ianze

Video_feroozi_temba

Feroozi Mh Temba na Sumagi  wa Hot Pot Family katika Pozi

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents