Habari
Gardner asimulia jinsi rafiki yake Kibonde alivyohangaika kupigania uhai wa marehemu mke wake (+video)
Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM, Gardner G. Habash ameeleza jinsi swahiba wake Ephraim Kibonde alivyopambana kuokoa uhai wa marehemu mke wake, Sara Kibonde.