Michezo

Gareth Southgate asaini mkataba wa miaka minne England

Hatiamye Gareth Southgate ameteuliwa rasmi kuwa kocha wa England katika mkataba wa kudumu. Southgate mwenye umri wa miaka 46 aliwacha wadhfa wake kama mkufunzi wa timu ya England ya vijana wasiozidi miaka 21 mnamo mwezi Septemba baada ya aliyekuwa meneja wa Uingereza Sam Allardyce kujiuzulu baada ya kuhudumu kwa siku 67 pekee.

3ae38f9300000578-3985312-image-m-3_1480518939219

Amesaidia Uingereza kushinda mara mbili pamoja na sare mbili akiwa kama kaimu mkufunzi na sasa ametia saini mkataba wa miaka minne wenye thamani ya pauni milioni 2 kwa mwaka.

3ae3956700000578-3985312-image-m-2_1480518453104

”Nimefurahia sana kushirikiana na wachezaji katika mechi nne na dhani kuna vipaji vingi”, alisema.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents