Michezo

Gareth Southgate kuwa kocha wa muda wa England

Chama cha soka nchini England kinajiandaa kumtangaza Gareth Southgate kuwa kocha wa muda wa timu ya taifa katika mwanzo wa kampeni za kuwania kufuzu kombe ka dunia.

150625091513_gareth_southgate_640x360_reuters

Zoezi la kumsaka kocha mpya litaanza baada ya michezo ya awali ya kufuzu kufanyika.

Mtendaji mkuu wa FA Martin Glenn,amesema kuwa kupatikana kwa kocha mpya kunaweza kuchukua miezi kadhaa,huku pia akimtaja meneja wa Arsenal,Arsene Wenger ambaye anaingia katika mwaka wa mwisho wa mkataba wake kama moja ya chaguo lao.

Hodgson alijiuzulu baada ya kukifundisha kikosi cha England kwa miaka mitatu kufuatia kichapo dhidi ya timu ndogo ya Iceland mjini Nice siku ya Jumatatu.

Source: BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents