Burudani

Gari jipya la Nicki Minaj

 

nicki_minaj
First lady wa Young Money Cash Money Billionaires crew, Miss Nicki Minaj leo ametoka na dinga lake mpya aina la Bntley Gt Continental amabalo ni Full Pink.

Minaj ambaye anapenda kujifananisha na Barbie doll alionekana maeneo ya L.A akiwa na boyfriend wake Safaree, wakiondoka kutoka kwenye eneo la kutangazwa kwa nominees wa Tuzo za Grammys ambapo Nicki ameteuliwa kama Best New Artist.

Tunamtakia Nicki kila la kheri kwa Tuzo hizo na hata kama hatashinda, at least ana Pink wheels kupoozea!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents