Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Gari la Jaguar lasababisha vifo, mwenyewe aandika ujumbe wa kuhuzunisha

By  | 

Taarifa za ajali ya gari la Jaguar iliyotokea jana na kusababisha vifo vya watu ilishtua wengi, lakini muimbaji huyo wa Kenya hakuwepo katika gari hilo kama baadhi ya watu walivyokuwa wakidhania baada ya mwenyewe kufika katika eneo hilo baada ya tukio hilo kutokea.

Jaguar kupitia mtandao wa Instagram, ameweka picha ya gari lake likiwa katika eneo ilipotokea ajali hiyo na kuandika ujumbe wa pole kwa waliopatwa na msiba pamoja na majeruhi katika ajali hiyo.

Kupitia mtandao huo, ameandika:

It is with grief that I share this post today. As it is now public, I was involved in a car accident. Sadly, lives were lost in the incident. It isn’t any ones will to wake up and be involved in an accident such as this. My heart felt condolences to the families and friends of those affected. I would like to assure all concerned that due process of the law is being followed to amicably resolve this. I pray God grant strength to the families affected as we all go through this trying moment. Lastly, lets avoid confrontational remarks in consideration to the pain it is causing the bereaved families.
Be well.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW