Burudani ya Michezo Live

Gavana Mutua afika kituo cha polisi kwa madai ya kutishiwa maisha na William Ruto “Alinishika mkono kwa nguvu akanambia nitakugonga”- Video

Gavana Mutua afika kituo cha polisi kwa madai ya kutishiwa maisha na William Ruto - Video

Gavana wa Machakos Alfred Mutua amefika kituo cha polisi cha Kilimani akidai kuwa ametishi maisha na William Ruto “…naye (William Ruto) akanishika mkono kwa nguvu akaniambia wewe jamaa nimesikia vile umesema, umekuwa ukinishambulia na sasa lazima nikugonge na nitakugonga, nitakufunza funzo” – Alfred Mutua

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW