Habari
Gazeti la Nipashe lajitia ‘kitanzi’ miezi mitatu
Kampuni ya IPP Media imesitisha kuchapicha gazeti la Nipashe Jumapili kama hatua ya kujiwajibisha kufuatia kuandika habari iliyosheheni uzushi na upotoshaji uliolenga kuathiri uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda.
Taarifa kamili