Habari

GEITA: Mthumiwa mmoja kati ya watatu afariki akiwa kituo cha Polisi baada ya kutekeleza mauaji – Video

GEITA: Mthumiwa mmoja kati ya watatu afariki akiwa kituo cha Polisi baada ya kutekeleza mauaji - Video

Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo, amethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa kosa la mauaji ya mwanamke mmoja kutokana na imani za kishirikina. Lakini amesema mtuhumiwa mmoja amefariki.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo.

Akiongea na waandishi wa habari leo Machi 14, 2020, amethibitisha kutokea kwa mauaji ya mwanamke huyo  mwenye umri wa miaka 56 na wanawashikilia watu watatu ambapo mmoja alipoteza maisha.

Kamanda Mponjoli ameelezea kwa kina sababu za mwanzoni za mauaji hayo.

By Ally juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents