Habari

Geita: Vikongwe wauaga ukapera baada ya kuishi pamoja zaidi ya miaka 70 bila ndoa (+Picha)

Vikongwe wenye umri wa zaidi ya miaka 90 mkoani Geita wameandika historia mpya baada ya kuamua kufunga ndoa.

Wazee hao Daniel Mulisa (93) na Rose Buhatwa (92) waliyoishi pamoja bila ndoa kwa zaidi ya wameamua kufanya hivyo hii leo.

Kwa mujibu wa Azam tv, wazee hao waliyoishi pamoja bila ndoa kwa zaidi ya miaka 70 wamefunga ndoa hiyo leo katika kanisa la Anglican Christo Mfalme lililoko mjini Geita.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents