Soka saa 24!

Genge na Bongo Fleva kuleta raha jumamosi

ukoo_Fulani__sharamaa_11
KUNDI  la muziki la Ukoo Fulani toka Kenya, wameshuka ndani ya Tanzania kwaajili ya kutoa burudani mchanganyiko wa muziki wa Genge toka Kenya na Bongo Fleva ya Tanzania, kwa pamoja katika  uzinduzi wa albamu ya Vunja Winga ya mwanamuziki wa kundi hilo Sharama. katika kundi hilo wamefika wasanii watatu akiwa na Rich Rich na Abbass, huku wakisindikizwa na wasanii kibao toka Tanzania.

Katika uzinduzi huo unaofanyika siku ya juma mosi pale Daimond, pia kutakuwa na uzinduzi wa msanii mwingine toka kundi la Akudo Impact anayejulikana kama Totoo ze Bingwa.

wasanii wengine ni Twenty Percent, Zola D, Benjamin wa Mambo Jambo, Akudo Impact na wengine wengi.

ukoo_Fulani_Sharama_11

Sharama akiwa kwenye pozi

Ukoo_fulani-Rich_rich_11
Rich Rich kutoka Ukoo Fulani Kenya

ukoo_bfulani__Richiii_11

abbs_poster_11
mwanamuziki Abbas kutoka Kenya

{hwdvideoshare}id=1535|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Sharama akieleza jinsi shoo hiyo itakavyokuwa.

{hwdvideoshare}id=1536|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Mwanamuziki Rich Rich, akitoa mistari jinsi atakavyo pagawisha

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW