Promotion

Geologist wins Airtel MZUKA 50m/-

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania akimkabidhi bw Peter Lucas Laizer ambae ni mkazi wa Dodoma mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 ikiwa ni zawadi yake aliyojishindia wakati wa droo ya mwisho ya promosheni ya MZUKA wa Airtel iliyosha hivi karibuni. Katikati anaeshudia ni ofisa huduma kwa wateja mkoa wa Mbeya Bw Hamfrey George. Airtel imekabidhi mfano wa hundi hiyo mwishoni mwa wiki kwa dhamira ya kujulisha wateja wake tayari mshindi huyo ameshawekewa hela zakekatika akaunti yake
bw Peter Lucas Laizer ambae ni mkazi wa Dodoma akiishangaa mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 aliyokabidhiwa leo ikiwa ni zawadi yake aliyojishindia wakati wa droo ya mwisho ya promosheni ya MZUKA wa Airtel iliyosha hivi karibuni. Airtel imekabidhi mfano wa hundi hiyo mwishoni mwa wiki kwa dhamira ya kujulisha wateja wake tayari mshindi huyo ameshawekewa hela zakekatika akaunti yake
kulia na kushoto ni Ofisa huduma kwa wateja wa Airtel mkoani mbeya Hamfrey George na Giliadi Mshana wakimpongeza kwa namna ya kipekee bw Peter Lucas Laizer ambae ni mkazi wa Dodoma na pia mshindi wa droo ya kubwa ya mzuka wa airtel aliyejishindia shilingi milioni 50 za Airtel. Hafla ya makabidhiano ilifanyika mwishoni mwa wiki mkoani mbeya ambapo mshindi huyo yuko huko kikazi na Airtel ilifanya hivyo kwa dhamira ya kujulisha wateja wake wote kuwa tayari mshindi huyo ameshawekewa hela zakekatika akaunti yake
Mwanahabari mkoani mbeya ambae pia ni mmiliki wa blog ya Mbeya yetu Bw Joseph Misango akimpongeza pia bw Peter Lucas Laizer mshindi wa droo kubwa ya mzuka wa airtel aliyejishindia shilingi milioni 50 za Airtel. Hafla ya makabidhiano ilifanyika mwishoni mwa wiki mkoani mbeya ambapo mshindi huyo yuko huko kikazi
bw Peter Lucas Laizer mkazi wa Dodoma na mshindi wa droo ya kubwa ya mzuka wa airtel aliyejishindia shilingi milioni 50 za Airtel akiongea na wanahabari mkani mbeya wakati wa hafla ya kukabidhiwa zawadi yake mwishoni mwa wiki. Hafla ya makabidhiano ilifanyika mwishoni mwa wiki mkoani mbeya ambapo mshindi huyo yuko huko kikazi

A Dodoma resident,Mr Peter Laizer who is the last winner of the Airtel promotion dubbed ‘MZUKA wa Airtel promo’ has received his 50m/- cheque over the weekend in Mbeya. Laizer who is a geologist by profession, was in Chunya district for his official duties, and he attended the ceremony held at Mbeya Airtel Office.

Last month, the company’s Public Relations Manager, Jackson Mmbando announced Mr Laizer as the winner of the last draw of the promotion aired live by ITV, the programme that was hosted by famous presenter, Godwin Gondwe.

“The promo wasaiming to give back to our esteemed customers what we get from them. Mzuka promotion started early December last year and reached its climax last month” said Mmbando.

Speaking with journalists immediately after signing the payment forms, Laizer promised to be Airtel good ambassador to all mobile phones customers who do not believe in promotions.

“Previously I did not believe in promotions, but now, though excited, I will be your ambassador. I will spend this money to solve personal things and I hope it will develop me and my family” happily said Laizer.

That was the second time for Airtel to pay a courtesy visit to winner’s hometowns regardless of the distance and cost.
“The amount has already been deposited into his personal account,” said Mmbando.

Airtel has about50 million customers all around Africa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents