Habari

GeoPoll: Clouds TV na Clouds Fm zaongoza kwa kutazamwa na kusikilizwa zaidi Tanzania

Kampuni ya GeoPoll Media inayohusika katika kutoa takwimu kwa upande wa vyombo vya habari Afrika, imetoa takwimu ya robo mwaka kwa upande wa Television na Radio zianzoongoza kuwa na watazamaji na wasikilizaji wengi zaidi nchini Tanzania.

Takwimu hizo zianahusisha Television 10 na Radio 10 zenye wasikilizaj wengi zaidi Tanzania. Kwa upande wa Radio na Television kampuni ya Clouds Media Group uimekuwa kinara kwa kuwa na asilimia kubwa zaidi, huku kampuni ya IPP Media kupitia EA Radio, EATV, ITC,Radio One na XCapital Tv na Radio zikionekana zikifanya vizuri pia katika takwimu hiyo inayolenga kuanzia mida ya saa 12 asubuhi mpaka saa nne usiku.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents