Burudani

George Clooney na mpenzi wake Amal Alamuddin watua Tanzania kula bata

Muigizaji wa Marekani, George Clooney ametua nchini Tanzania akiwa na mpenzi wake mpya Amal Alamuddin.

e95d20140318-152635
George Clooney na mpenzi wake Amal Alamuddin wakiwa mbugani, Tanzania

Wawili hao wanadaiwa kuwa mbugani (haijulikani ni wapi) walikoenda kutazama wanyama. Picha inayowaonesha wakiwa pamoja mbugani imeonekana na haijulikani jinsi mpiga picha huyo alivyoipiga.

1395193239_startraks_action_18317464_george-clooney-amal-alamuddin-467

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents