Soka saa 24!

Ghetto Kids waonyesha mjengo wao walionunuliwa na French Montana (Picha)

Watoto wa Uganda waliong’arisha video ya ‘Unforgettable’ ya French Montana wanaojulikana kama Ghetto Kids, wametangaza neema waliyojaliwa mwaka huu ya kununuliwa jumba la kifahari na mwanamuziki huyo.

Montana ambaye jina lake halisi ni Karim Kharbouch amefanikisha ndoto hiyo ya Triplets Ghetto Kids ikiwa ni mwaka mmoja tu baada ya kuwapandisha kwenye jukwaa la Tuzo za BET nchini Marekani. Video ya ‘Unforgettable’ imeangaliwa zaidi ya mara Milioni 798

Ghetto Kids waliandika

2018 has been a great year for us!! We Thank the Almighty God for the blessings We pray he continues blessing us more and more 🙏

@frenchmontana and the whole Team We can’t Thank you enough! We only pray to God to continue blessing you guys And we shall always be proud of you! @frenchmontana Words can’t express how happy we are but only God knows what is inside our Hearts ❤️
May God bless you more and more

And the best of all We thank you Our Dad, our Everything, our Manager Kavuma Dauda @managerticha_tfug God bless you 🙏🙏 so much!! We love you so much and we believe in you
Our Dreams are coming true!!
Thank you God not Forgetting our Fans and everyone!
#8thDecFreedomCity
#ChampionKidsParty
#AmunyaOutNow

Kundi hilo ambalo lilianza kuonekana kwenye ulimwengu wa burudani kupitia video za Eddy Kenzo, pia wamewashukuru Mungu pamoja na mashabiki wao.

Montana amewahi kuwabariki wananchi wa wilaya ya Iganga nchini Kenya kwa kuwajengea hospitali ya Suubi ambayo inatibu zaidi ya watu 20,000.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW