Burudani
Gigy Money alivyojisamilisha kwa DC Jokate “Huyu ni rais wa vijana ” (Video)
“DC Jokate kwa sasa naweza kusema ni rais wa vijana,” Muimbaji huyo ameyasema hayo mapema jana muda mchache baada ya kubambwa na kamera za Bongo5 akitoka ofisini hapo.