Burudani

Gigy Money ana mimba ya miezi 7, huyu hapa baba kijacho (Video)

Msanii wa muziki na video vixen, Gigy Money kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba ana ujauzito wa miezi 7. Muimbaji huyo amesema mimba hiyo ni ya mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio cha Choice FM, Mo J.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents