Burudani

Gigy Money apata dili la ubalozi wa kondomu

Mara baada ya kujaliwa kupata mtoto wa kike, msanii wa muziki Bongo na video vixen, Gigy Money amerejea tena kwenye headlines zake, time hii amepata dili za ubalozi.

Gigy Money kwa sasa ni balozi wa bidhaa za Bull Condom ambapo kwa sasa anatoa kinga hizo katika maeneo tofauti tofauti.

Gigy Money ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Intagram ikiwa ni wiki mmoja imepita tangu Amber Lulu kuweka wazi kuwa balozi hata hivyo hakuweka wazi ni kwa bidhaa zipi.

Mwaka jana kulikuwa na taarifa za ujio wa bidhaa za kondomu kutoka kwa rapper Joh Makini hata hivyo kumekuwa na ukimya wingi wa hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents