Burudani

Godzilla aeleza kwanini video ya ‘Stay’ imechelewa kutoka

Godzilla amesema ameshindwa kufanya maandalizi ya video ya wimbo wake ‘Stay’ kutokana na watu wengi kuwa busy na masuala ya uchaguzi.

Godzila

Godzilla ameiambia Bongo5 kuwa mashabiki wengi wa muziki wameelekeza macho na masikio yao kwenye matokeo ya uchaguzi na hivyo kutokuwa na muda wa kufuatilia muziki kwa ukaribu.

“Sasa hivi hata ukiupdate kitu unakuta respond ndogo,” amesema. “Nikaona ngoja nisubiri kwanza uchaguzi upite halafu ndio nianze masuala ya ku-shoot video. Kwa sababu watu wako busy sana na masuala ya matokeo ya uchaguzi, sasa hivi ukifanya kazi yako unahitaji watu wawe attention na kitu chako,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents