Michezo

Goli la Yanga lapewa maneno 3 yakiufundi, tatizo lao kubwa Wananchi kwa sasa ni hili (+Video)

”Goli la Yanga unaweza kulipa majina matatu ya kiufundi, tatizo la Yanga kwa sasa ni …, Mchambuzi Abbas Pira ameuchambua mchezo wa Yanga dhidi ya JKT Tanzania ambao ulishuhudiwa ukimalizika kwa sare ya goli 1 – 1 katika Dimba la Jamhuri jijini Dodoma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents