Michezo

Golikipa wa Marekani Tim Howard avunja rekodi ya kombe la dunia kwa kuokoa mipira mingi ya golini

Golikipa wa Marekani, Tim Howard jana amevunja rekodi ya dunia kwa kuokoa mipira 15 ya hatari golini kwakuwa kitu kama hicho kilifanyika kwa mara ya kwanza 1966.

howard2

Mlinda mlango wa Peru, Ramon Quiroga alikuwa anashikilia rekodi nyingine kwa kuokoa mipira 13 wakati timu yake ikicheza na Uholanzi mwaka 1978. Pamoja na jitihada hizo, Marekani ilitolewa na Ubelgiji kwa kufungwa mabao 2-1. Kutokana na hatua hiyo, Howard amegeuka kuwa shujaa wa Marekani na jina lake limetrend kwenye Twitter.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents