Michezo

Golikipa wa Memelodi Sundowns, Denis Onyango ashinda tuzo hii

Mchezaji wa klabu ya Memelodi Sundowns ambaye ni golikipa Denis Onyango, raia wa Uganda na ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani, msimu uliopita wa mwaka 2015 tuzo hiyo alishinda Mtanzania Mbwana Samata.

Mchezaji bora kwa kina dada imeenda kwa Asisat Oshoala wa Liverpool na timu ya taifa ya Nigeria huku timu bora ya mwaka ikiwa ni Uganda.


Asisat Oshoala ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya BBC ya mwanasoka bora wa kike

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents