Habari

GOOD NEWS: Mabasi ya mikoani kusafiri saa 24, Kangi Lugola adai jeshi la polisi halitishwi na majambazi (+Video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola amepiga marufuku Makamanda wa Polisi kuzuia mabasi yanayofanya safari kati ya Jiji la Dar es Salaam na Mikoa ya Kanda ya Ziwa kusafiri usiku kwa kisingizio cha kuhofia majambazi.

Waziri Lugola ametoa kauli hiyo leo Jumapili Julai 7, 2019 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa vijiji vya Namibu na Mwibara wilayani Bunda mkoani Mara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents