Michezo

‘Go eat some bananas and get Ebola you dirty monkey’, Balotelli atukanwa baada ya kuwatania Man Utd

Polisi wanachunguza mashambulio ya kibaguzi dhidi ya mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli kupitia Twitter.

Mario+Balotelli+Manchester+City+Training+Press+J5zAWmRmazQl

Mario Balotelli alipokea mvua ya matusi ya kibaguzi kupitia mtandao huo baada ya kuwatania Manchester United kwa kufungwa mabao 5-3 na Leicester City jana. Mchezaji huyo wa Italia alitweet: ‘Man Utd…LOL’ baada ya timu hiyo kufungwa kwenye mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa King Power.

Miongoni mwa matusi aliyotukanwa ni pamoja na @CraigSainsbury aliyeandika: ‘F*** you Mario you f****** n*****. Got eat some bananas and get ebola you dirty monkey.’

Akaunti hiyo imefungwa tayari. Balotelli amekuwa mhanga wa vitendo vya kibaguzi mara kadhaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents