Burudani

Grace Matata kuhusu uhusiano na One: Ukifika mahali ukasogea kila mtu atajua

Rapper One the Incredible na muimbaji wa soul, Grace Matata ni wapenzi japo hawajaamua kutangaza rasmi uhusiano wao.

11236341_1059979624016151_1652249329_n

Hata hivyo picha zao kwenye mitandao ya kijamii hazifichi ukweli wa uhusiano wao.

Wakiongea na East Africa Radio, wawili hao wamesema uhusiano wao ni maisha binafsi hivyo wamewataka mashabiki wao kufuatilia muziki wao zaidi.

“Ni personal life kwakweli. Ikifika mahali ikasogea kwenye hatua nyingine zaidi kila mtu atajua,” alisema Grace.

“Waendelee kumfuatilia One the Incredible tu na kama wataendelea kumfuatilia Grace vile vile waendelee kumfuatilia, sina mengi ya kusema juu ya hilo yaani,” alisisitiza One.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents