Tupo Nawe

GSM na Yanga mambo safi, wataja maeneo matatu ‘Konki’ ya kudhamini ”Tunachukua ubingwa 2021” (Video)

Uongozi wa Klabu ya Yanga kupitia kwa Mwenyekiti wa timu hiyo Dr. Mshindo Msolla amefanya mazungumzo na mmoja kati ya wafadhili wao GSM ambao siku za hivi karibuni kulikuwa na kutokuelewana baina ya pande hizo mbili hadi kupelekea Mdhamini huyo kutishia kuacha kuisaidia vijana hao wa Jangwani katika sehemu zote ambazo ni nje ya makubaliano ya Mkataba wao.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW