Shinda na SIM Account

Guardiola aiteka England aweka rekodi ya-ajabu

Ni kwamara ya kwanza katika historia ya tuzo za mwezi katika soka la England kocha kutwaa zaidi ya mara tatu.

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola hatimaye ametangazwa kuwa  ndiye mshindi wa tuzo hizo kwa mwezi wa Disemba, itakumbukwa kuwa Mhispania huyo alitwaa mfululizo ya Septemba, Oktoba na Novemba.

City wameshinda michezo saba na kutoka suluhu mmoja kati ya nane wa;iyocheza mwezi uliyopita ambapo ni timu ya Crystal Palace pekee ndiyo iliyowabana mbavu kupitia kwa Shakhtar.

The Blues wameshinda jumla ya mabao 19 kwa mwezi Disemba kila sifa anastahili kupewa meneja Pep kwa kuibadili timu hii ya Sheikh Mansour bin Zayed bin Sultan bin Zayed bin Khalifa Al Nahyan yenye maskani yake Etihad.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW