Burudani

Gucci Mane, Migos & Lil Yachty kuachia albamu iitwayo ‘GLACIER BOYZ’ mwezi huu

Walipokuwa katika The Breakfast Club mapema mwezi huu kukuza albamu yao mpya ya inyoshika namba 1 katika chati za Billboard CULTURE II, Migos waligusia kidogo kwamba kuna albamu wanaifanyia kazi wao pamoja na msanii Gucci Mane iitwayo Glacier Boyz.

Hawaku toa maelezo mengi juu hilo lakini usiku wa jana Gucci pamoja na Quavo wametumia mtandao wa Twitter kutangaza mambo gani makubwa tutegeme katika ushirikiano huo.

Kingine ni kwamba msanii Lil Yachty nae atakuwepo katika mix hiyo na wasanii hao wote wametokea jijini Atlanta huku Marekani.

Kulingana na Gucci Mane albamu hiyo itaachia ndani ya mwezi huu februari 2018. Angalia tweets hapa chini.

https://twitter.com/CultureTheAlbum/status/959957545963216897

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents