Aisee DSTV!

Gundu la Drake lilivyoibeba Raptors, Sababu za yeye kutoshuhudia mchezo wa fainali ya NBA kati ya Toronto Raptors dhidi ya Golden State Warriors zaelezwa (+ Video)

Sababu za Drake kukatazwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa fainali ya NBA kati ya Raptors dhidi ya Warriors zaelezwa (+ Video)

Kila mtu anajua kwamba msanii na Rapper kutoka nchini Canada ambaye amehamishia makazi yake Marekani Aubrey Drake Graham  alimaarufu Drake ambaye ni mnazi mkubwa wa Toronto Raptors timu ya NBA ambayo inatoka Canada na siku ya fainali msanii huyo hakluwepo uwanjani kwenye mchezo kitu ambacho sio kawaida yake.

Mbali ya baba yake mzazi kutoa taarifa za mwanae kukatazwa kuingia uwanjani na Polisi.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW