Michezo

Gurdiola amtema Yaya Toure katika kikosi cha vilabu bingwa ulaya mwaka 2016-17

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amemwacha nje kiungo wa kati wa timu hiyo yaya Toure katika kikosi chake cha kombe la vilabu bingwa Ulaya mwaka 2016-17.

_91012263_guradiolanyayatoure

Pep Gurdiola ameonesha wazi kuwa hamuhitaji Toure, hiyo ni baada ya kutoka kwa list ya wachezaji 21 wa Man City watakaoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya kukosekana kwa jina la Toure.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents